WASANII WA BONGO AKIWEMO SHILOLE ,WAKIMFARIJI MSANII MWENZAO AFANDE SELE.
Baadhi
ya Wasanii waliokuwa kwenye onesho la Kilimanjaro Music Tour
lililofanyika mkoani Dodoma jana,leo walipitia nyumbani kwa Mfalme wa
Rhymes a.k.a Simba Mzee a.k.a Afande Sele kumpa mkono wa pole na
kumfariji kufuatia kifo cha Mzazi mwenzake Mama Tunda kilichotokea
mwisho mwa wiki mjini Morogoro.Pichani ni Msanii wa Muziki wa Bongofleva
atambulikae kwa jina la Shilole akimfariji Afande Sele.…
SHANGWE ZA SERENGETI FIESTA KAHAMA USIKU WA KUAMKIA LEO
Posted by GLOBAL on August 18, 2014 at 9:30am
0 Comments
0 Likes
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani
katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Kahama.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani
katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Kahama.
(PICHA NA MUSA MATEJA/GPL, KAHAMA)
AISHA MADINDA MUNGU MKUBWA!
Posted by GLOBAL on August 18, 2014 at 8:30am
0 Comments
0 Likes
Stori: Gladness MallyaMungu mkubwa! Mkata mayenu wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Aisha Madinda amekula shavu la kwenda kunengua Dubai na kuachana na bendi hiyo kwa muda.Kwa mujibu wa chanzo makini ndani ya bendi hiyo, Aisha alikuwa ameshaanza kufanya mazoezi lakini hivi karibuni amekwenda Dubai kwa ajili ya kucheza shoo.
“Unajua wanenguaji wengi huwa wanachukuliwa na kwenda kucheza shoo…
Comments
Post a Comment