SERENGETI FIESTA TANGA ILIKUWA NI SHIDAH.

Hivi ndivyo ilivyokuwa Serengeti Fiesta Tanga Aug 23.t.

89fsttngSerengeti Fiesta Tanga imemalizika kwa stage kushambuliwa na zaidi ya wasanii 15 ambao kwa pamoja walitoa burudani kwa wakazi wa Tanga,Mara nyingi stage ya Srengeti Fiesta huwa inatawaliwa na ‘Sapraiz’ na Tanga nao walikutana nayo hii.
Wasanii Hawa mara nyingi huwa hawatangazwi ili kutoa nafasi kwa wewe mhudhuriaji kupata burudani ambayo hukuitegemea,Tanga walipata ujio wa Tunda Man na Abdul Kiba on stage ambao walipanda na kushangiliwa sana
Upande wa Tunda Man alipanda wakati Madee akiimba na upande wa Abdul Kiba alipanda wakati kaka yake Ally Kiba alipokuwa akiimbaKiukweli alishangiliwa sana na kutoa salaam zake kwa wakazi wa Tanga na ilikua poa sana.
Wasanii wengine waliopefom ni pamoja na Ally Kiba,Madee,Abdul Kiba,Dogo janja,Ommy Dimpoz,Kadja,Young killer,Mr Blue,Roma Mkatoliki,Ney wa Mitego,Stamina,Chegge na Temba na wengine wengi na pia kulikua na washindi wa ngoma Baikoko ya Tanga.
732fsttng
691fsttng
674fsttng
665fsttng
583fsttng
582fsttng
434fsttng
439fsttng
517fsttng
542fsttng
544fsttng
575fsttng
407fsttng
402fsttng
391fsttng
342fsttng
330fsttng
316fsttng
264fsttng
289fsttng
300fsttng
301fsttng
304fsttng
310fsttng
242fsttng
213fsttng
148fsttng
141fsttng
131fsttng
123fsttng
89fsttng
83fsttng
75fsttng
62fsttng
50fsttng
49fsttng
48fsttng
45fsttng
43fsttng
42fsttng
26tngfst
30fsttng
37fsttng
40fsttng
41fsttng
26fsttng
22fsttng
21fsttng
16fsttng
14tngfst
11fsttng
1fsttng
2tngfst
3tngfst
7fsttng
8fsttng
8tngfst


Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.