KENYA YAFUNGA MIPAKA YAKE KABLA YA EBOLA KUANZA KUTIKISA NCHI.

KENYA YAFUNGA MIPAKA YAKE KABLA YA EBOLA KUANZA KUTIKISA NCHI.

Wanasayansi, wauguzi na madaktari wanasema Ebola imeshindikana Afrika magharibi.Kenya imefunga mipaka yake kwa watalii na wahamiaji kutoka GUINEA,Liberia na Sierra Leone kwani hizi ndizo nchi zinazoshambuliwa mno na Ebola barani hapa.
Ndege za Kenya labda zitaweza kuruhusiwa kuruka kuelezea Freetown na Monrovia ifikapo juma tano ya wiki hii.

waziri wa wizara ya afya ya Kenya amesema watalii kutoka katika mataifa yaliyoadhiriwa na Ebola watapimwa svizuri kabla na baada ya kuingia nchini.hii ndiyo kauli ya James Macharia.

Kila nchi imeanza mbinu za kutokomeza ebola na kuakikisha wananchi wake wako salama dhidi ya janga hili Nigeria imeamua kuwafundisha madaktari 800 dhidi ya ugonjwa wa ebola .
 
Maoni ya mwariri wa mambobomba kwa nchi za Afrika inabidi kila nchi hiandae kamati dhidi ya Ebola la sivyo mikakati madhubuti.


Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.