EBOLA KATIKA MUONEKANO MPYA NCHINI CONGO.


sura ya kirusi kipya cha Ebola 
Mto Ebola ni mto unaotiririsha maji yake kupitia katika misitu ya Congo katika jimbo la  Equateur upande wa kaskazini mwa DRC .Kirusi cha Ebola kiligunduliwa na Mbeligiji mwaka 1976 na kukipa jina la EBOLA. 

Mpaka kufikia hivi sasa zaidi ya watu 1500 wamefariki kwa ugonjwa wa Ebola.

japo si kwamba virusi vyote vinaua banadamu bali kuna vile vinavyoua wanyama kama nyani. nchi za Liberia, Sierra Leone, Guinea na Nigeria ndiyo nchi zilizoathiriwa zaidi na jangwa hila duniani.
Uchunguzi wa kisayansi unaonesha kuwa kirusi kilicho kuwako Afrika ya kati ni tofauti na kile kilichoonekana Afrika ya kaskazini.

Tafiti zaidi zinaendelea kulingana na kirusi hicho.

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.