DIAMOND NA NAY WAMEZIMISHA MWANZA MBAYA SANA.


Japokuwa ni show ya kwanza kufanyika kwenye msimu huu wa Serengeti Fiesta 2014, inaonekana itakuwa miongoni mwa show zitakazovunja rekodi kwenye idadi ya mahudhurio.
Show ilifanyika CCM Kirumba kwa amani huku ukaguzi ukifanywa mlangoni na Polisi kwa kila aliekua akiingia ambapo miongoni mwa wakali waliochukua nafasi kwenye stage ni Diamond Platnumz na Nay wa Mitego na hit song yao ya ‘muziki gani’.
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=MbgL5UWjBwA

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.