EPUKA VYAKULA HIVI VINAVYOZEESHA KAMA VILE SHAHIRI NA VINGINEVYO SOMA HAPA.

Wakati nyakula kama ndizi,mihogo na mboga za majanim zikikufanya uonekana kijana wa miaka 18 wakati unaumri mkubwa sana wa makamu.

kisanyansi kuna mambo matatu ambayo ndiyo yanayochochea uzee au tanasema kupoteza ladha au makunyanzi na kushidwa kula vyakula na hata kushindwa kufanya kazi nyingine za uzalishaji.

mambo hayo ni "glycation", "inflammation", na "oxidation".tukizungumzia kuzeeka hatumaanishi kuwa na makunyanzi na kushidwa kula vyakula na hata kushindwa kufanya kazi nyingine za uzalishaji tu bali baadhi ya milango ya fahamu na viungo vinginevyo vinachakaa.

Moja ya vyakula vinavyozeesha sana ni vile ambavyo vyanzo vyake ni SHAHIRI na NGANO.Kwa wale watumiaji wazuri wa BIA na MIKATE MITAMU watakuwa pamoja na mambobomba kuzibitisha hili.

picha ya mmea wa shahiri.


mfano wa keki tamu


Baada ya kujua madhara ya shahiri sasa tunashauriwa kula vyakula vifuatavyo kutokana na ushauri wa kisayansi kwa kuzingatia mambo matatu yaliyotajwa hapo juu....,nini basi kinafaa na kwa nini tunashauriwa haya.

SABABU ZA KULA VYAKULA TAJWA HAPA CHINI NI PAMOJA NA;

1.HUSAIDIA MSAWAZISHO WA HOMONI.

2.KUUNGUZA MAFUTA.

3.KUONGEZA NGUVU YA ASILI MWILINI.

VYAKULA HIVYO NIPAMOJA NA;

1.PARACHICHI
2.NDIZI.
3.MATANGO.
4.MBOGA ZA MAJANI.
5.NAZI.
6.SAMAKI.
7.MAJI.
8. NA VYAKULA VINAVYOFANAANA NA HIVI BILA KUSAHAU MCHICHA.
JARIBU HUTUAMBIE.


Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.